A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, March 9, 2022

Rais Samia amekutana na kuzungumza na Ujumbe kutoka kwa Mfalme wa Oman.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Badr Hamad Hamood Al Busaidi Ujumbe huo ulipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.

 


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages