Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium  Mwinyi (katikati) wakiwapungia mikono WANANCHI  leo walipojumuika na Viongozi   na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa  kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani  hadi Uwanja wa Amaan Studim.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium  Mwinyi (katikati)  walipojumuika na Viongozi  na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa  kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani  hadi Uwanja wa Amaan Studim.

Wanamichezo wakishiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo leo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium  Mwinyi  

Vikundi mbali mbali wa mazoezi kutoka Bara na Visiwani vilivyoshiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Uwanja wa Amani Studium yaliyofanyika leo.

Picha na Ikulu