A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 16, 2021

CEOrt WAANDAA KONGAMANO LA FURSA YA KUKUZA UCHUMI WA NCHI KATI SERIKALI NA SEKTA BINAFSI

 

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi kwenye mkutano wao wakiwa wajumbe wa CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt). Mkutano huu uliofanyika jijini Dar es Salaam ulilenga kuona jinsi gani sekta binafsi zinaweza kushirikiana na serikali katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa. Kulia ni Mwenyekiti wa CEOrt, Sanjay Rughani.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la wajumbe wa CEOrt ambao ni maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi na kujadili ni jinsi gani sekta binafsi zitashirikiana na mipango ya serikali ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa.

Mwenyekiti wa CEOrt, Sanjay Rughani akizungumza kwenye mkutano wa wajumbe wa CEOrt ambao ni maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi uliofanyika jijini Dar es Salaam ukiwa na lengo la kuona jinsi gani sekta binafsi zitashirikiana na mipango ya serikali ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages