Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa Maliyatabu, akikabidhi msaada wa vitabu mia moja vyenye dhamani ya shilingi laki tano katika shule ya msingi pamoja ilioko kwnye kata hiyo ikiwa ni juhudi za Mwenyekiti huyo kuunga mkono Serikali kwenye sekta ya elimu. Hafla yakukabidhi ya msaada huo imefanyika hivi karibuni Dar es Salaam.
Mwenyekiti Maliyatabu akikabidhi moja ya kitabu kati ya vitabu mia moja kwa Mmoja ya mwanafunzi wa shule hiyo
Mwenyekiti Maliyatabu akikabidhi vitabu kwa mwalimu wa shule hiyo.



No comments:
Post a Comment