Ndege hiyo aina ya F-15C imeanguka wakati wa mafunzo nchini Uingereza.
Katika taarifa hiyo, imebainika kuwa ndege iliyokuwa ikiondoka kutoka Lakenheath Base ilikuwa kwenye safari ya mafunzo ya kawaida wakati wa ajali.
Mpaka sasa hali ya rubani wa ndege hiyo na sababu ya ajali hiyo havijajulikana.
Uchunguzi rasmi umeanzishwa ili kubaini chanzo cha kuanguka kwa ndege hiyo ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment