A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, June 13, 2020

Matokeo ligi kuu Tanzania bara leo


Matokeo ya mechi mbili za leo Juni 13 za Ligi Kuu Bara kwenye viwanja viwili tofauti

Mwadui FC imekubali kuchapwa bao moja kwa bila na Yanga Uwanja wa Kambarage. Bao limefungwa na Balama Mapinduzi dakika ya sita


Coastal Union iliyo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda imelazimisha sare ya kibabe ya kufungana mabao  2-2 na Namungo FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages