A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 24, 2020

Rais wa Afrika Kusini ametangaza wananchi wote kujifungia ndani kwa siku 21


Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya #COVID19 nchini humo

Rais Ramaphosa amesema wakati wa utekelezaji wa suala hilo linalotarajia kumalizika Aprili 16 hakuna mtu ataruhusiwa kutoka nyumbani na watakosimamia jambo hilo ni idara ya Maafa ya nchi hiyo

Katazo hilo la watu kutoka ndani halitawahusu watu wa Idara ya Majanga, Polisi na Watumishi wa Afya watakaokuwa wakizunguka kwa wananchi kuwapatia mahitaji muhimu pamoja na chakula

Hadi leo asubuhi, Nchi hiyo imeripoti jumla ya Maambukizi 402 huku kukiwa na Wagonjwa wanne waliopona

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages