Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho
Yassin(katikati), akimsikiliza Kaimu Meneja wa kituo cha uwanja wa ndege namba
tatu Barton Komba (kulia) wakati wakiingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja
kati ya Swissport na Air Tanzania, khafla iliyofanyika katika viwanja vya ndege
terminal 3 jana, (kushoto) ni Mkurugenzi wa fedha Swissport Tanzania Imani
Mtafya
Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho
Yassin (wa tatu kulia), pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mipango Kampuni ya Ndege
Tanzania (ATCL) Kitula Yango (wa tatu kushoto) wakikata keki wakati wakiingia
makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania, hafla
hiyo iliyofanyika katika viwanja vya ndege terminal 3 jana. Wengine pichani ni
Maofisa kutoka Swissport na ATCL.
Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho
Yassin, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa wakiingia makubaliano ya
kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania, hafla iliyofanyika
katika viwanja vya ndege terminal 3 jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho
Yassin, akifafanua jambo kwa Maofisa kutoka shirika la ndege la Tanzania wakati
wa halfa ya kuingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na
Air Tanzania. Makubaliano hayo yalifanika jana katika viwanja vya ndege terminal
3 jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mipango Kampuni ya Ndege
Tanzania (ATCL) Kitula Yango (katikati) akifafanua jambo wakati wa khalfa ya
kuingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania.
(kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin pamoja na
Mkurugenzi wa fedha Swissport Tanzania Imani Mtafya. Makubaliano hayo
yalifanika jana katika viwanja vya ndege terminal 3 jana.
No comments:
Post a Comment