A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 16, 2019

BREAKING: Makambo aingia mkataba na Horoya AC, aikimbia Yanga SC


Ripoti zilizosambaa kwa kasi hivi sasa mitandaoni zinaeleza kuwa klabu ya Horoya AC kutoka Guinea imemsajili mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo.

Straika huyo Mkongo amejiunga na miamba hao ikiwa haijulikani namna alivyoondoka Yanga mpaka kufikia maamuzi hayo.

Ripoti zimesema kuwa Horoya wameingia mkataba wa miaka mitatu na mchezaji huyo.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages