A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 19, 2019

Simba SC wazifuata pointi tatu kwa Kagera Sugar

Kikosi cha Simba SC tayari kimeondoka Dar es Salaam kuwafauta Kagera Sugar kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL).

Mchezo wa timu hizo mbili utapigwa hapo kesho Jumamosi Aprili 20, 2019.

Mchezo huu unachezwa baada ya siku mbili kupita tangu Simba SC walipocheza na Coastal Union mkoani Tanga na kuibuka na ushindi wa goli 2-1. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages