Kikosi cha timu ya Simba kimewasili mjini Bukoba, tayari kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar hapo kesho.
Mchezo wa timu hizo mbili utapigwa hapo kesho Jumamosi Aprili 20, 2019.
Mchezo huu unachezwa baada ya siku mbili kupita tangu Simba SC walipocheza na Coastal Union mkoani Tanga na kuibuka na ushindi wa goli 2-1.
No comments:
Post a Comment