A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 27, 2019

KWA KASI HII SIMBA MUNGU ANAWAONA.


Mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba SC na Biashara United umemalizika kwa Wekundu wa Msimbazi kuibuka na ushindi wa goli 2-0.

Mabao yote ya Simba SC yamefungwa kipindi cha kwanza na nahodha John Bocco kunako dakika ya 33 akimalizia pasi ya Mzamiru Yassin na dakika ya 40 akimalizia pasi ya Asante Kwasi.

Simba SC imemaliza mchezo huo bila kiungo wao Haruna Niyonzima ambaye alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano kipindi cha pili dakika ya 67  na 71 ya mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages