A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, April 30, 2019

Chege aeleza sababu ya kumtaja Vanessa kwenye namba 1

Msanii wa Bongo Fleva Chege Chigunda ambaye ameachia ngoma yake mpya 'Manjegeka' aliyomshirikisha Vanessa, amesema hawajawahi kuona msanii anajitoa kwenye collabo yake kama alivyofanya Vanessa.

Chege ameeleza kuwa Vanessa alifanya wimbo wao kama wa kwake kwa kuzingatia ratiba za studio mpaka wakati wa kutengeneza video pamoja na promotions baada ya wimbo kutoka.

''Sijawahi kufanya collabo na msanii akaubeba wimbo kama Vanessa, yaani kila kitu amejilipia na nguo ametoka nazo Marekani kwakweli Vanessa ni namba moja wao'', - Chege.

Mbali na hilo Chege ameongelea suala la msanii wa zamani wa TMK Bi Cheka kukosa hela ya matibabu ambapo ameweka wazi kuwa hajawahi kupanga kumsaidi ila haimanishi hana uwezo wa kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages