Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera ameitabiri timu ya Tanzania, Taifa Star kufuzu kwenye michuano ya mataifa huru ya Afrika (AFCON).
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam ameeleza kuwa ni mara kadhaa amekuwa hata akiwaeleza wachezaji wake kuwa Taifa Stars itafuzu.
"Kitu ambacho hamjui Tanzania mtaenda AFCON, huwa nawaambia wachezaji wote mtaenda AFCON, mtaipiga Uganda hapa," amesema.
No comments:
Post a Comment