Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema magaidi wote walihusika hapo jana kwenye shumbulio la 14 Riverside Nairobi wameuawa.
Akihutubia taifa hilo amesema kuwa hadi sasa watu 14 ndio wamefariki kwenye shabulio hilo.
“Ninaweza kuthibitisha kuwa operesheni ya kiusalama katika jengo la Dusit Complex imemalizika na Magaidi wote wameuawa”, amesema.
Shambulio la 4 Riveside lilitokea hapo jana ambapo Watu zaidi ya 700 wameokolewa huku idadi ya majeruhi ikiwa bado haijajulikana.
No comments:
Post a Comment