A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, September 9, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA ITILIMA NA KISESA MKOANI SIMIYU

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa  Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Meatu mkoani humo.
2

3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu wakati akiwa njiani kuelekea Meatu mkoani humo.4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mwankoli (hawaonekani pichani) katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.5
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina akiwasalimia wananchi wa Kisesa waliojitokeza kumlaki rais Magufuli alipopita wilayani.
6
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.7
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.8
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.9

10

11

12
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.13
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.14
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.15
Wanainchi mbalimbali walijitokeza kumlaki rais Magufuli.16
18
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina akiwasalimia wananchi wa Kisesa waliojitokeza kumlaki rais Magufuli alipopita wilayani.19
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina akiwasalimia wananchi wa Kisesa waliojitokeza kumlaki rais Magufuli alipopita wilayani hapo.20
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiongea na wananchi wa Kisesa.
21
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina akiwasalimia wananchi wa Kisesa waliojitokeza kumlaki rais Magufuli alipopita wilayani.
22
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina akiwasalimia wananchi wa Kisesa waliojitokeza kumlaki rais Magufuli alipopita wilayani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages