A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 18, 2018

Spika Ngugai afika Muhimbili alikolazwa Kigwangala kumjulia hali

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai leo Agosti 18 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.  Khamis Kigwangalla katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikolazwa kwa lengo la kumjulia hali.

Waziri kigwangala amelazwa hospitalini kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari ambapo mtu mmoja alipoteza maisha katika ajali hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages