A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, May 12, 2018

Zoezi la kupiga kura laanza Iraq


Iraq imeanza rasmi zoezi la kupiga kura.

Kwa mujibu wa habari,zoezi hilo limeanza katika maeneo mbalimbali nchini humo asubuhi mapema na linatarajia kufanyika mpaka saa moja za jioni.

Kutokana na kuwa zoezi hilo linafanya kwa njia za kielektroniki na vilevle alama za vidole,upigaji kura unaweza kuchukua muda mrefu kuliko ilivyo kawaida.

Kutokana na hilo wapiga kura wameelekea katika vituo vya kupiga kura mapema iwezekabnavyo.

Kati ya jumla ya idadi ya watu milioni 37,milioni 24 wamejiandikisha kupiga kura nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages