A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 28, 2018

Wananchi wapiga kura kuruhusu utoaji mimba



Tume ya uchaguzi nchini Ireland imetangaza kuwa Wananchi wameanza kupiga kura kuruhusu utoaji mimba baada ya asilimia 66.4 ya wapiga kura kuunga mkono kuondolewa kwa kipengee cha sheria kinachopiga marufuku utoaji mimba.

Asilimia 33.6 pekee ya wapiga kura ndio waliopinga kundolewa kwa kipengee hicho. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Barry Ryan alitangaza matokeo ya kura hiyo ya maoni mbele ya maelfu ya wananchi waliojawa na furaha.

Kura hiyo ya maoni iliungwa mkono katika eneo bunge 40 nchini humo isipokuwa eneo bunge la Donegal. Mji mkuu wa Dublin uliongoza kwa kuunga mkono kura hiyo ya maoni huku asilimia 51.9 ya wapiga kura wa mji huo wakiunga mkono utoaji mimba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages