Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili
lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha kubadilisha hati za
kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi wa ILMIS, ambapo kwa
sasa mtu ataweza kupata hati yake kupita mtandao na akihitaji karatasi
atapata moja amabyo itakuwa na viambatanisho vyote.
Msajili
wa Hati kutoka Wizara ya Ardhi, Joanitha Kazinja akitoa maelezo kwa
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape
Nnauye wakati walipotembelea chumba cha kubadilishia Nyaraka cha Mradi
wa ILMIS.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye
Akizungumza wakati wa kikao cha Majumuisho ya ziara ya kutmebelea Miradi
ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Mradi wa ILMIS Unaotekelezwa na
Wizara ya Ardhi.
Mtaalamu
wa Maluala ya bacode Katika mradi wa ILMIS Cristina Selaru akitoa
maelezo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili jinsi mfumo huo
utakavyokuw aunafanya kazi kumsaidia mtu kujua taharifa zake zote.
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili na Mbunge Viti Maalum
Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya akitizama jinsi wafanyakazi wa Mradi wa
ELMIS wakijaza baadhi ya nyarak katika mtandao.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye
akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi mara baada ya kutembelea mradi wa Victoria unaotekelezwa
na Shirika la Nyumba la Taifa NHC.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauyeakiongoza kikao cha Kamati.
Mkurugenzi wa Mfumo wa TEHAMA Wizara ya Ardhi na Kodineta wa ILMIS , Dk Shabani Pazi Akitoa Maelezo juu mradi huo.
Mhandisi
Msimamizi wa Mradi wa ILMIS,Carol Roffer akieleza jambo kwa Wajumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge walipotembelea kuona mafanikio ya Mradi huo
unatoekelzwa na Wizara ya Ardhi.
No comments:
Post a Comment