Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipowasili Skuli ya Sekondari ya Jumapindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana kwa katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya hiyo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia sani kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana kwa kuzungumza na Mabalozi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari wa Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) alipokuwa akizungumza nao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Jumapindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment