Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na mkewe Mama
Janeth Magufuli walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu
Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa
leo Alhamisi Mei 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitoa pole kwa wafiwa walipokwenda kuhani msiba
wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje
kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitambulishwa kwa watoto wa marehemu walipokwenda
kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo
la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment