A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, May 1, 2018

DC TEMEKE AONGOZA SIKUKUU ZA MEI MOSI JIJINI DAR:

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva amewaongoza wafanya kazi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa niaba y Mkuu wa Mkoa huo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Yaliyoadhimishwa katika Uwanja wa Uhuru jijini hapo.

Akizungumza katika maadhimisho hayo DC Lyaniva amewataka waajiri wote katika Mkoa huo kufuata sheria ya ajira ya kuwapatia wafanyakazi mkataba na usalama wa kazi.

Amesema wapo baadhi ya waajiri ambao hawatoi mkataba wa kazi na badala take wanashikilia vyeti vya wafanyakazi hao jambo linalopelekea waajiriwa kufanya katika mazingira magumu.

"Niagize kila mwajiri ahakikishe mkataba wa ajira na Usalama kazini ili kuboresha mazingira ya wafanyakazi wao kwani wasipokuwa na mkataba haki zao hawatazipa kama inavyotakiwa.

Aidha amewataka maafisa kazi kuhakikisha wasimamia haki na stahili za wafanyakazi ili kutengeneza mazingira mazuri ya kazi.

Pia amewataka wafanyakazi wanapodai haki na maslahi yao wahakikishe wanafanya kazi kwa bidii na kwa haki bila kutaka au kudai rushwa.

Katika Maadhimisho hayo yameudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema,Wakurugenzi, pamoja na Viongozi mbalimbali kutoka Serikalini pamoja na Vyama mbalimbali vya wafanyakazi na wafanyakazi kutoka katika mashirika mbalimbali mkoani hapo.
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI, yaliyo fanyika Kimkoa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI, yaliyo fanyika Kimkoa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema aliye upande wa kulia, a naye fuata ni Katibu Tawala mkoa wa Dar es Salaam Thelesia Mbando, na anaye fuata ni mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Duniani MAY_MOSI Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Felix Lyaniva.

Mgeni Rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Felix Lyaniva aliyepo katikati akiwa meza kuu akisubiri Kutoa hotuba.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Thelesia Mbando, (kushoto) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (wa pili kulia) wakiwa katika meza kuu siku ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani MAY MOSI,  yaiyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini hapa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kulia),  pamoja na viongozo wengine kutoka serikalilini  wakiwa katika maadhimisho hayo.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo (kushot akiwa na Makatibu Tawala wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam  katika maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI  leo jijini Dar es Salaam.

Band ya Jeshi la Kujenga Taifa TanzaniaJKT  ya Jijini Dar es Salaam ikiongozwa maandamano ya may mosi.
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI, yaliyo fanyika Kimkoa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa kiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI, yaliyo fanyika Kimkoa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanya kazi Dunianiani MAY_MOSI, yaliyo fanyika Kimkoa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam  
Baadhi ya wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano katika kusherehekea siku ya wafanya kazi (MEI MOSI)
Baadhi ya wafanyakazi  kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano 
Baadhi ya wafanyakazi  Manispaa ya Temeke kutoka vyama mbali vya wafanyakazi wakiwa katika maandamano hayo.
Moja ya Magari yalikuwa katika maonyesho ya viwanda May mosi uwanja wa Uhuru
Moja ya Magari ya Hifadhi za Taifa za Mbuga za wanyama Tanzania TANAKA, likiwa katika maonesho ya 

MATUKIO KATIOKA PICHA 














Band ya Jeshi la Magereza  ya Jijini Dar es Salaam ikiongoza maandamano ya may mosi.




















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages