MUDA UMEONGEZWA NA BARAZA LA MITIHANI NECTA KWAAJILI YA KUWAANDAA WALIONA MAPUNGUFU KATIKA SIFA ZA KUSOMEA UDAKTARI.
KWA WOTE WENYE NIA YA KUWA DAKTARI MWAKANI CHUO KINAZO NAFASI KWA WALE WALIOKUWA TAYARI KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA HUU PROGRAMU MAALUMU IITWAYO PRE MEDICINE YAANI UNAJENGEWA MSINGI WA UDAKTARI HUKU UNARUDIA MASOMO YAKO HAPAHAPA CHUONI.
SIFA KUU UWE UPUNGUFU WA MASOMO 2-3 KATIKA HAYA YAFUATAYO.
- FIZIKIA
- KEMIA
- BIOLOJIA
- HESABU
- KIINGEREZA
1.Tuma matokeo yko na index number
2.Namba yako ya wasap
3.mwisho wa kuripoti ni tarehe 29 mwezi huu
PIGA SIMU ZIFUATAZO:
0654354949
0716044610
0718229977
www.stdavidcollege.ac.tz
No comments:
Post a Comment