A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 25, 2018

SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe. Kamlepo kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Ndg. Thomas Makiwa. PICHA NA OFISI YA bunged

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages