A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 25, 2018

DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge  mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages