Ikiwa ni muda mchache baada ya mchezo ya watani wa jadi Simba na Yanga kuisha katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,
lakini simba imeendelea kugawa dozi kwa kuichapa timu ya yanga kwa bao moja lililofungwa na mshambuliaji machachali Elasto Nyoni, katika kipindi cha kwanza,
No comments:
Post a Comment