Ndege ya kivita ya jeshi la Marekani aina ya F-16 naanguka Nevada
Ndege ya kivita ya jeshi la Marekani aina ya F-16 yaanguka Nevada bila ya kutolewa taarifa zaida kuhusu tukio hilo ambalo limefahamishwa kuwa ni ajali ya kwaida.
Kitengo cha anga cha Nellis kimesema kuwa ajali hiyo imetokea majşra ya ushubuhi. Hakuna taarifa iliotolewa kuhusu hatma ya rubani wa ndege hiyo.
No comments:
Post a Comment