Julius Maada Bio aligombia kiti cha urais katika uchaguzi mkuu nchini Siera Leone kwa tikiti ya upinzani.
Watu takribani milioin 3 waliiandikisha kupiga kuri ya kumachagua rais mpya wa nchi hiyo Machi 31 ambapo matokeo yake yametangazwa.
Tume iliosimamia uchaguzi NEC chini ya uongozi wa Mohammes Nfah Alie Conteh imetangaza kuwa Julius Maada Bio ndio mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata asilimia 51,8 ya kura.
Julius Maada amaemshinda mgombea mwenza Samura Kamara ambae alikuwa waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Sierra Leone ambae amepata asimilia 48,1 ya kura.
No comments:
Post a Comment