A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 25, 2018

Kocha mpya wa Yanga kupelekwa Morogoro kesho


Yanga wanaonekana hawataki mchezo na Kocha wake mpya wa Yanga, Mwinyi Zahera tayari wamepanga kumepeleka mjini Morogoro, kesho.

Zahera amejiunga na Yanga kesho na kutembezwa katika makao makuu ya klabu hiyo na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa yanga, Charles Boniface Mkwasa.

Kocha huyo raia wa DR Congo, anachukua nafasi ya Kocha George Lwandamina raia wa Zambia ambaye amerejea kwao Zambia na kujiunga Zesco.

Yanga ipo kambini Morogoro kujiandaa kujiandaa na mechi dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili.

Zahera amefanya mazungumzo ya muda wa takribani saa moja na Mkwasa kabla ya kutembezwa sehemu kadhaa katika ofisi za klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages