A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 9, 2018

Benki ya NMB yaadhimisha siku ya michezo duniani

2K2A5507-640x375
Tarehe 6 Aprili ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya michezo ambapo kwa hapa nchini benki ya NMB imeadhimisha siku hiyo kwa kushiriki michezo ya aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu na mazoezi ya kukimbia (jogging).
Timu ya mpira wa miguu ilicheza mchezo wa kirafiki na timu ya Azam Veteran, timu ya mpira wa kikapu ikacheza na timu ya Donbosco na klabu ya mazoezi ya kukimbia (NMB Jogging Club) ikakimbia pamoja na kufanya mazoezi ya viungo. MO Blog tumekuwekea picha za wafanyakazi wa NMB wakiwa katika michezo hiyo.
MPIRA WA MIGUU (FOOTBALL)
2K2A4916
 Timu ya mpira wa miguu ya benki ya NMB ikiwa katika mchezo wa kirafiki na timu ya Azam Veteran uliopigwa kwenye uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.
2K2A48842K2A4848
MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL)
1-4
Timu ya mpira wa kikapu ya benki ya NMB ikichezo mchezo wa kirafiki na timu ya Donbosco.
2-83-5
MAZOEZI YA KUKIMBIA (JOGGING)
2K2A5488
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker akiongoza wafanyakazi wa benki hiyo kufanya mazoezi ya viungo baada ya kufanya mazoezi ya kukimbia.
2K2A5507
2K2A5498

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages