Ngozi
nyeusi katika magoti na nyuma ya mikono hutokana na mkusanyiko wa cells
zilizokufa, na hata unavyoweka pressure kwenye magoti na vipepsi vya
mikono yako. Kama ukiwa unaweka mikono kwenye meza ukiwa kazini, ule
msuguano unafanya ngozi iwe nyeusi.
Kama una magoti myeusi na nyuma ya mikono pia ni peiusi, tumia hizi njia asili kuweza kuondoa weusi huo:
Juice
ya Aloe Vera inasaidia kuondoa weusi, all you have to do ni kupaka
juice hiyo kwenye sehemu yenye weusi na uache kwa nusu saa kisha nawa na
upake moisturizer. Rudia kufanya hivi mara mbili kila siku.
Changanya
vyote hivi utapata mchanganiko mzito, paka kwenye magoti na kwenye
mikono yako palipo na weusi. Kaa nayo kwa dakika 30, nawa na paka
moisturizer. Rudia hii kila siku kwa wiki 3-4, utapata matokeo mazuri.
Chukua
pamba na uitumie kupaka juice ya ndimu katika sehemu zenye weusi. Au
unaweza kuikata tu ndimu na kuipaka directly kwenye sehemu zenye weusi.
Kaa nayo kwa lisaa 1 kisha nawa. Rudia hivi kila siku hadi weusi
utakapopotea.
Kama una magoti myeusi na nyuma ya mikono pia ni peiusi, tumia hizi njia asili kuweza kuondoa weusi huo:
Tumia Aloe Vera Juice.
Tumia Binzari Manjano, Asali na Maziwa.
Tumia Ndimu.
Tumia Olive Oil na Sukari.
Changanya vizuri, hii itakuwa kama exfoliation/scrub kwa ajili ya magoti
na mikono. Paka katika hizo sehemu zenye weusi kisha kuwa kama
una-massage polepole. nawa kwa maji ya uvuguvugu kisha paka moisturizer.
No comments:
Post a Comment