A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 13, 2018

DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Ali Khalil Mirza kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Maryam Juma Abdalla kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Tahir M.K.Abdulla kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ali Khamis Juma kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ahmad Kassim Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo,Maliasili Mifugo,na Uvuvi anayeshuhulikia Masuala ya Kilimo na Maliasili katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Mwanajuma Majid Abdalla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Wazee,Wanawake na Watoto, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi. Maua Makame Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Kazi na Uwezeshaji, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages