Mauzo ya Hisa (Turnover/ Liquidity)
Mauzo kwa wiki iliyoishia 2 Februari 2018 yalikuwa shilingi Bilioni 5.5 ikilinganishwa na mauzo ya shilingi bilioni 44.6 kwa wiki iliyoishia tarehe 26 Januari 2018.
Vile vile Idadi ya hisa zilizo uzwa na kununuliwa kwa wiki iliyoishia iliyoishia tarehe 2 Februari 2018 hisa milioni 5.5 ikilinganishwa na mauzo ya hisa ya milioni 8 kwa wiki iliyoishia tarehe 26 Januari 2018.
Kampuni zilizoongoza katika mauzo ya hisa kwa wiki iliyoishia tarehe 2 Februari 2018 ilikuwa kama ifuatavyo:
SWISS……………………………………………52%
CRDB …………………………………………….25%
TPCC………………………………………………12%
Ukubwa Mtaji (Market Capitalization)
Ukubwa wa mtaji wa kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko umepanda kwa Shilingi Bilioni 474 kutoka Shilingi Trilioni 22.7 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 23.2 wiki iliyoishia tarehe 2 Februari 2018. Ongezeko hilo limetokana na kupanda kwa bei za hisa za VODA (14%), SWISS (10%), DSE (8%) na CRDB (5%).
Ukubwa wa mtaji wa kampuni za ndani umepanda kwa Shilingi Bilioni 291 kutoka Trilioni 10.1 hadi kufika Shilingi Trilioni 10.4 wiki hii. Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya hisa ya VODA (14%), SWISS (9%), DSE (8%) na CRDB (5%).
Kampuni
|
2 Februari 2018 (Shilingi)
|
26 Januari 2018 (Shilingi)
|
Badiliko (%)
| ||||
CRDB
|
5.41%
| ||||||
DCB
|
0.00%
| ||||||
DSE PLC
|
1,600
|
8.11%
| |||||
MBP
|
0.00%
| ||||||
MCB
|
0.00%
| ||||||
MKCB
|
0.00%
| ||||||
MUCOBA
|
0.00%
| ||||||
NMB
|
2,750
|
0.00%
| |||||
PAL
|
0.00%
| ||||||
SWALA
|
0.00%
| ||||||
SWIS
|
3,840
|
9.71%
| |||||
TBL
|
14,000
|
0.00%
| |||||
TCC
|
16,800
|
0.00%
| |||||
TCCL
|
1,200
|
0.00%
| |||||
TOL
|
0.00%
| ||||||
TPCC
|
1,480
|
1.37%
| |||||
TTP
|
0.00%
| ||||||
VODA
|
850
|
14.86%
| |||||
YETU
|
0.00%
| ||||||
Kampuni zilirodhodheshwa kutokea Masoko mengine
| |||||||
ACA
|
5,870
|
2.26%
| |||||
EABL
|
5,240
|
1.16%
| |||||
JHL
|
10,970
|
1.01%
| |||||
KA
|
0.00%
| ||||||
KCB
|
2.06%
| ||||||
NMG
|
2,320
|
1.31%
| |||||
USL
|
-10.00%
| ||||||
Mtaji Jumla Makampuni yote (Bilioni)
|
23,208
|
2.08%
| |||||
Mtaji Jumla Makampuni ya Ndani (Bilioni)
|
10,393
|
2.88%
| |||||
Kiashiria cha DSEI (pointi)
|
2,410
|
2.08%
| |||||
Kiashiria cha TSI (pointi)
|
3,964
|
2.88%
|
Viashiria (Indices)
Kiashiria cha kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko yaani DSEI kimepanda kwa pointi 49 kutoka pointi 2,360 hadi 2,410 pointi hii ikiwa ni kutokana na kupanda kwa bei za hisa za Vodacom Tanzania Plc (VODA), Swissport (SWISS), Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) na CRDB Bank Plc (CRDB).
Pia kishiria cha kampuni za ndani yaani TSI kimepanda kwa pointi 111 kutoka pointi 3,853 hadi pointi 3,964 kutokana na kupanda kwa bei za hisa za Vodacom Tanzania Plc (VODA), Swissport (SWISS), Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) na CRDB Bank Plc (CRDB).
Kiashiria cha sekta ya viwanda (IA) wiki hii imepanda kwa pointi 3 kutoka pointi 5,504 hadi pointi 5,507 baada ya hisa za TPCC kupanda kwa 1.37%
Kiashiria huduma za kibenki na kifedha (BI) wiki hii imepanda kwa poniti 37 kutoka pointi 2,555 kadi pointi 2,555 hii imecgangiwa na kupanda kwa bei za hisa za DSE kwa asilimia 8% kutoka shilingi 1480 hadi 1600 na CRDB kwa asilimia 5% kutoka shilingi 185 hadi shillingi 195.
Kiashiria cha Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imepanda kwa pointi 302 kutoka pointi 2,174 hadi pointi 2,476 imechangiwa na kupanda kwa bei za hisa za VODA kwa 14% kutoka shilingi 740 hadi shilingi 850.
Hati Fungani (Bonds)
Mauzo ya hati fungani katika wiki iliyoishia tarehe 2 Februari 2018 yalikuwa Shilingi bilioni 18 kutoka Shilingi Bilioni 23 wiki iliyopita ya 26 Januari 2018
Mauzo haya yalitokana na hatifungani kumi na nne (14) za serikali zenye jumla ya thamani ya Shilingi bilioni 19 kwa jumla ya gharama ya Shilingi bilioni 18
No comments:
Post a Comment