NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea machache na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza alipofika kwa utambulisho na kuanza ziara katika Mkoa huo Februari 23 2018. Pamoja naye (kushoto) Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga viongozi wa wasaidizi wake mkoani humo. (Imeandaliwa na Robert Okanda blogs)
|
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akilakiwa na Osmund Ueland Mshauri wa Shamba sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. Pamoja naye (kushoto) Mwasisi wa Ilula Orphan Program (IOP), Berit Skaare
|
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akipata maelezo ya ujenzi wa makazi maalumu ya kujifunzia kutoka kwa Osmund Ueland Mshauri wa Shamba (kulia) kwenye eneo la shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. Pamoja naye (kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga na Mwasisi wa Ilula Orphan Program (IOP) Berit Skaar
|
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akikagua sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. Pamoja naye (kulia) ni Mshauri wa Shamba hilo, Osmund Ueland, Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geoffrey Kirenga (nyuma kulia), Mwasisi wa Ilula Orphan Program (IOP), Berit Skaare na viongozi wengine wa serikali wa mkoa humo |
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiwahusia vijana yatima Ajolin Mgeveke (wa pili kulia) na Atilio Mbungu ambao ni wanufaika wa Ilula Orphan Program (IOP) alipofanya ukaguzi wa shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani iriga jana. Kulia ni Mwasisi wa IOP, Berit Skaar |
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa Shamba hilo, Osmund Ueland wakati alipofanya zaira kukagua sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 wakati wa ziara yake mkoani Iringa Februari 23 2018. Shamba hilo ni la kilimo cha biashara ni maalum kwa ajili ya kina mama wanaojitegemea, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali. |
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiwabadilishana mawazo na wakina mama wanajitegemea 'Single mothers' baada ya kukagua sehemu ya shamba lenye hekari 651 lililonunuliwa na Taasisi ya Ilula Programu 2013 mkoani Iringa kwa ajili ya kilimo cha biashara maalum kwa ajili yao, watoto yatima na wanafunzi wenye nia ya kukuza uelewa wa kilimo kutoka katika Wilaya ya Iringa hasa wa shule za primary na awali.
|
No comments:
Post a Comment