Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akimtambulisha meneja mwajiri wa
kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki
kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha,
Pwani wakati akifanya mkutano nao. Mkuu huyo wa wilaya alifanya ziara
hiyo kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akijadiliana machache na meneja
mwajiri wa kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka
Uturuki wakati alipofanya mkutano wake na vijana wasotea ajira walioweka
kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akitolea ufafanuzi wa mambo
machache kwa vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha
Soga-Kibaha, Pwani.
Vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Asumpter Mshama.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama akaribishwa na uongozi wa kampuni
ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki ili aweze
kuongea na vijana wasotea ajira walioweka kambi yao kijiji cha
Soga-Kibaha, Pwani.
Mkutano ukiendelea.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama aliyeambatana na viongozi wa
kamati ya ulinzi na usalama wakifanya mkutano wa ndani na vingozi wa
kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki
katika mambi yao waliyoiweka kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
Kamati ya ulinzi na usalama ikifuatilia kwa karibu.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama (kushoto) na katibu tawala wilaya
ya Kibaha Sozi Ng'ate (kulia) wakipata maelezo machache kwa kiongozi wa
kampuni ya ujenzi wa reli ya Kisasa ya Yapi Markezi kutoka Uturuki
wakati walipotembelea kambi yao iliyopo kijiji cha Soga-Kibaha, Pwani.
No comments:
Post a Comment