Mkuruegenzi Mtendaji wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akizungumza na Wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje ya nchi wakiwa na wazazi wakipata taarifa juu taarifa mbalimbali kabla ya safari ya kwenda katika vyuo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Zamani wa Elimu, Mbunge wa Bagamoyo, Mhandisi Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza na wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje katika Mkutano ulioandaliwa na Global Education Link (GEL)
Afisa wa Habari Mwandamizi wa Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU),Edward Mkaku akizungumza juu ya Global inavyofanya kazi kwa ukaribu na TCU kwa wanafuzi wanaokwenda kuwa taarifa za tuume hiyo.
Mwanasaikolojia ,Chris Mauki akizungumza juu ya masuala ya Saikolojia katika kuwajenga wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya nje ya nchi.
Baadhi ya wazazi wakichangia maada zinazohusiana na wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya Nje ya Nchi.
No comments:
Post a Comment