A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 21, 2017

MKUU WA WILAYA UBUNGO KISARE MAKOLI ATATUA MGOMO WA DALADALA SIMU 2000

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makoli (wa pili kulia) akiwa ameongozana na baadhi ya madereva wa dala dala wakielekea  kwenye kituo cha daladala cha Mawasiliano simu 2000 mara baada ya madereva wa Daladala kupinga tozo ya shilingi 1000 kama Ushuru wa magari ambapo awali walikuwa wanalipa shilingi 500
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli, akizungumza na Madereva Daladala waliopo katika eneo la Simu 2000 mara baada ya kuweka mgomo kupinga tozo ya Shilingi 1000 na kudai kuwa barabara hiyo ni mbovu,Mhe.Makoli ameagiza kuendelea kulipwa tozo hiyo ya zamani ya shilingi 500 badala ya 1000 iliyokuwa imeongezwa,na kwamba madereva waendelee na shughuli zao kusafirisha abiria kama kawaida.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli, akizungumza na Madereva Daladala waliopo katika eneo la Simu 2000 mara baada ya kuweka mgomo kupinga tozo ya Shilingi 1000 na kudai kuwa barabara hiyo ni mbovu




Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wanaimarisha ulinzi katika eneo la kituo cha Daladala cha Mawasiliano Simu 2000.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages