A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 21, 2017

GARI LAACHA NJIA NA KUPARAMIA MAWE

Wakazi wa Tabata Segerea Wilaya ya Ilala wakiwa wanashangaa gari aina ya Land Cluser Prado ambayo imecha barabara na kuvamia Vigingi Vilivyopo kwenye barabara ya kukatisha kwenda Kimara Bonyokwa.
Gari aina ya toyota Land Cluser Ikiwa ipo juu ya mawe mara baada ya kuruka na kuacha njia katika eneo la tabata Segerea njia panda ya kwenda Bonyokwa, gari hiyo imepanda mawe hayo katika harakati za kumkwepa mtu aliyekuwa anakuja mbele yake kwa speed kali hata hivyo katika ajali hiyo Hakuna majeruhi wala mtu aliyefariki wote walitoka Salama

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages