A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 30, 2017

KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAZARO MAMBOSASA AJITAMBULISHA KWA RC MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda kushoto jana amefanya Mazungumzo na Kamanda mpya wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP_ Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa  hivi karibuni na IGP  Simon Sirro.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda akizungumza katika hafla ya kumtambua Kamanda  mpya wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam SACP_ Lazaro Mambosasa  Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages