A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 16, 2017

Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao

Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe wakikata keki katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
 Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi wakijiunga na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe   katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao  Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
 Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mama Rose Rupia wakiwa  na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe   katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao  Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Mark Bomani na mkewe   katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao  Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
 Mzee Joseph Butiku na mkewe wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe   katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao  Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
 Keki ikiandaliwa
 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Mama Everlyin Warioba wakiwa  na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe   katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao  Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
 Wakiwa na watoto na wajukuu kwenye sherehe ya nusu karne ya ndoa yao

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages