A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 4, 2017

CAMEL OIL WAMUUNGA MKONO RC MAKONDA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Samaam Paul Makonda, (kulia) akipokea msaada  wa Vitanda 150 na magodoro 150 pamoja na mashuka vyenye dhamani ya shilingi milioni 300, kwa Meneja Biashara wa Kampuni ya Mafuta Camel Oil, Suleiman Amour. makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Samaam Paul Makonda, akiongea na  waandishi wa habari  kwenye viwanja vya ofisini kwake jijini Dar es Samaam leo. katika hafla ya kupokea msaada wa Vitanda 150 na magodoro 150 pamoja na mashuka vya wagonjwa vyenye dhamani ya milioni 300, kutoka Kampuni ya Mafuta Camel Oil  kushotoni Meneja Biashara wa Camel Oil, Suleiman Amour.

Meneja Biashara wa Camel Oil, Suleiman Amour, akiongea na  waandishi wa habari  kwenye viwanja vya ofisini ya Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Samaam Paul Makonda leo. katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda 150 na magodoro pamoja na mashuka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages