Mtu mmoja aliyejifanya Daktari katika Hospitali ya Amana Ilala,Jijini Dar-Es-Salaam ashikiliwa na uongozi wa Hospitali hiyo baada ya kukutwa akitoa huduma kwa wagonjwa waliofika kwa matibabu hospitalini hapo kinyume na taratibu
Pia imeelezwa yakuwa alikuwa akifanya utapeli kwa watu tofauti mbalimbali yakuwa atawatafutia ajira huku akitambua kufanya hivyo ni makosa kwa sheria za nchi.

No comments:
Post a Comment