A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Saturday, February 15, 2025

YAS YADHAMINI TAMASHA LA MAASAI TOURISM CULTURE KUKUZA UTAMADUNI.

Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa simu wa Yas Tanzania Kanda ya Kaskazini,Daniel Mainoya,  akimwelezea Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Tanzania Boniface Kadili,  kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuhusu bidhaa na huduma za Yas wakati wa Maasai Tourism Cultural Festival inayofanyika katika Uwanja wa Magereza, Kisongo,Arusha. Yas inadhamini tamasha hilo kwa lengo la kukuza na kuhifadhi utamaduni wa Kitanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages