EO
shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa
shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19
na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Yen
ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 18.6 na kuuzwa kwa shilingi
18.8 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 157.16
na kuuzwa kwa shilingi 158.6.
Hayo
ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za
kigeni iliyotolewa leo Aprili 6, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola
ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2287.2 na kuuzwa kwa
shilingi 2310.1 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi
3002.4 na kuuzwa kwa shilingi 3033.11.
Aidha,Euro
ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2506.53 na kuuzwa kwa shilingi
2532.52 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 359.5 na
kuuzwa kwa shilingi 363.006.
Kwa
mujibu wa BoT, shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.9 na
kuuzwa kwa shilingi 20.04 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa
shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.
Dirham
(AED) ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inanunuliwa kwa shilingi 622.8
na kuuzwa kwa shilingi 628.8 huku sarafu ya Austria ya Schilling (ATS)
inanunuliwa kwa shilingi 146.8 na kuuzwa kwa shilingi 148.1.
Kwa
upande wa Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1743.98 na
kuuzwa kwa shilingi 1762.6 huku Pula ya Botswana (BWP) inanunuliwa kwa
shilingi 198.98 na kuuzwa kwa shilingi 201.9.
No comments:
Post a Comment