A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 6, 2022

Orodha ya miji na bei elekezi ya mafuta kuanzia leo Aprili 6,2022

 

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zimeanza kutumika kuanzia leo Jumatano,Aprili 6, 2022.

Mkurugenzi wa Petroli nchini,Bw.Gerald Maganga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Machi 5,2022 kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Mhandisi Geoffrey Chibulunjeamesema,bei za rejareja na jumla za mafuta ya petroli,dizeli na mafuta ya taa yaliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam zimeongezeka ikilinganishwa na toleo lililopita la Machi 2,2022.

Amesema kuwa, Aprili,2022 bei za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa shilingi 321 kwa lita sawa na asilimia 21.45 mtawalia.

Maganga amesema,toleo lililopita bei za jumla za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa shilingi 320.33 kwa lita sawa na asilimia 13.29, shilingi 288.50 kwa lita sawa na asilimia 12.69 na shilingi 472.41 kwa lita sawa na asilimia 22.72 mtawalia.Soma kwa kina hapa>>>
 
Zifuatazo hapa chini ndiyo bei elekezi kulingana na kila eneo hapa nchini;

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages