A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, February 17, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada wakiongozwa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (kushoto kwake) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akionyesha zawadi aliyopewa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada wakiongozwa na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (wapili kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Februari 16, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages