Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Biashara wa Maendeleo Benki
Emmanuel Mwaya (kushoto), akizungumza na wanahabri wakati wa hafla yakukabidhi
Kompyuta mpakato (Laptop) kwa chama cha Kariakoo Wamachinga Association
(KAWASO) ambapo waliingia mkataba kwaajili ya kutoa mikopo kwa wafanya biashara
wadogo waliopo mitaa maalum ya kariakoo yaliyotengwa.
Mkuu wa Kitengo cha Idara ya
Biashara wa Maendeleo Benki Emmanuel Mwaya (kushoto), akikabidhi moja ya
Kompyuta mpakato tatu zilizotolewa na Maendeleo Bank kwa Mwenyekiti wa Chama cha Kariakoo
Wamachinga Association Namoto Yusuph kwaajili ya kuwezesha zoezi la Usajili na
Urasimishwaji wa machinga wote wa jiji la Dae es Salaam kwaajili ya kutambulika
pia kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka Maendeleo bankMkuu wa Kitengo cha Idara ya
Biashara wa Maendeleo Benki Emmanuel Mwaya (kushoto), pamoka na Mwenyekiti wa
Kariakoo Wamachinga Association Namoto Yusuph wakitia saini mikataba
yamakubalino kwaajili yakufanya kazi pamoja kati ya Maendeleo Bank na Chama KAWASO
No comments:
Post a Comment