A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, January 3, 2022

Roman Reigns Akutwa na Corona

 

Bingwa wa Mkanda wa World Wrestling Entertainment (WWE)Universal Championship, Roman Reigns amekutwa na maambukizi ya UVIKO-19 hivyo kuondolewa kwenye game ya WWE Day One PPV iliyofanyika usiku wa jana State Farm Arena huko Atlanta, Georgia.

WWE.com ilithibitisha ripoti ya awali na kwamba itifaki za kampuni kuhusu COVID-19 hazikumruhusu Reigns kuonekana kwenye ulingo baada ya kupimwa na kukutwa anamaambukizi.

Mabadiliko ya dakika za mwisho kwenye game hiyo yalimfanya Brock Lesnar kuongezwa kwenye mchuano wa WWE kuwania taji la Bingwa wa WWE lililokuwa linashikiliwa na Big E.

Katika game ya watu watano badala ya wanne iliyochezwa ikihusisha Bingwa wa WWE Big E dhidi ya Seth Rollins, Kevin Owens, Bobby Lashley, na Lesnar. Mnyama huyo, the beast aliibuka mshindi nakutwaa taji hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages