Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa kesi za Michezo (CAS) inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya Klabu ya Yanga dhidi ya mchezaji wa Simba, Benard Morrison.
Kulingana na taarifa ya awali iliyotolewa na klabu ya Yanga kesi hiyo itatolewa hukumu leo Jumanne, Agosti 24, 2021 na Jaji Patrick Stewart kutoka Uingereza.
No comments:
Post a Comment